Kiongozi wa Afroholland New Group ambayo ina makazi yake nchini Holland , amewasili nchini Denmrak kwa ajiri ya mazungumzo ambayo imepelekea kusaini Mikataba na kampuni kubwa ya Filamu nchini Denmark VAD FILM PRODUCTION ,Kampuni hiyo ya Afroholand ni kampuni inayohusika na miziki ya afrika kama style dance za , AZONTO, SALSA, KIZOMBA, SOKOUS dancing na mambo mengi na imejipatia umaarufu mkubwa nchini Holland , hivyo kitendo cha kuingia mkataba na kampuni ya Vad Ambayo nayo inafanya vizuri kwenye filamu ni hatua kubwa na itakayoleta mapinduzi makubwa barani ulaya kwa filamu na Muziki haya ndio yaliandikwa na Kiongozi wa Vad film Production kwenye mtandao wa kijamii .
Tumefurahi kumpokea mmoja katika viongozi wa Afroholland Newgroup Omba Bukuru Familly Sabuni kuja Denmark na kutaka kazi za pamoja na V.A.D FILM PRODUCTION. Kupitia kuwasili kwake Denmark alipata nafasi kutizama kazi za V.A.D FILM PRODUCTION na sehemu zakazi. Alipendelea sana kuona viongozi wa V.A.D FILM PRODUCTION ila ilikua vigumu kwa sababu wengi wako kwenye likizo kwa sababu kazi zote Denmark kwa sasa wanalikizo, kuanza kazi ni mwezi wa 8. kwa iyo alikubali V.A.D FILM PRODUCTION na kazi zake.
Ombeni akiwa na Mmoja wa meneja wa VAD MR RIZOS Babingwa chini
President wa Vad film Production waliwekeana mkataba na Muakilishi wa Afroholand Group Omba Bukuru
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!