AirTanzania yasaini mkataba wa miaka 5 na Hahn Air ya Ujerumani Tiketi kupatikana dunia nzima.

Habri njema kwa watanzania na watu wote wanaopenda kutembelea tanzania .
AirTanzania yasaini mkataba wa miaka 5 na Hahn Air ya Ujerumani.

Wiki 2 zijazo, tiketi za AirTanzania zitapatikana popote pale duniani.

Hahn Air ni inatoa suluhisho la uuzaji tiketi za ndege duniani.


XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
https://www.youtube.com/watch?v=_NaWOSR1kR8