Sr Miriam WAZWA feat Clovis MAKOLA ” KUMAMA” (Official Clip HD)by Marc JACOB PROD
KUMANA ni nyimbo ya kwanza kutoka kwa mwanadada Mrembo Miriam Wazwa inayomaanisha –Usifiwe Mungu hii ni Video yake ya kwanza ambaye licha ya kuimba vizuri kwa kumsifu Mungu lakini Video hio aliofanya chini ya Production ya hali ya juu iliyoko Ufaransa JACOB Production ,hivyo inawafanya watu wengi kuvutiwa na nyimbo hiyo
Kwa kifupi mwanadada huyu Mrembo makazi yake halisi ni Copenhagen Denmark na huu sio wimbo wake wa kwanza amesharekodi nyimbo nyingi za kumsifu Mungu ila hii ni Moja wapo tu alioifanyia Video , basi ili kuendelea kumsifu Mungu akangalia Video hii na wewe ili ubarikiwe , tukipata Muda tutakuletea Mengi kuusu Mariam na kazi yake ya nyimbo za injiri
Bonyeza hapa kuangalia wimbo kamili
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here