Annasiri Msangi mama anayefanya vizuri Tanzania kwenye filamu

Anajulikana kama Annasiri Msangi au Mzaa chema na majina mengi sana kutokana na filamu anazocheza  .Kutokana na uwezo wake  wa hali ya juu ndio unaofanya waandaaji wengi kuweza  kumtafuta hasa  katika nafasi ya umama anayoimudu hasa ipasavyo na chini hapo ni baadhi ya picha akiwa location .

 

10170872_1406877699588070_4988877187080676236_nMama huyo mwenye uwezo wa hali ya juu ukiacha filamu zote alizowai kucheza  mojawapo ikiwa ya Marehmu kanumba NDOA YANGU bado yuko juu na hivi karibuni ameonekana kwenye filamukama KINYONGO iliyoandaliwa na Michael DUMA   Pia hivi karibuni amecheza kama mama yake IREN UWOYA , filamu iliyoandaliwa na MTITU WILLIAM, akiwemo  Gabo, Iren, na Haji Adamu  itayotoka karibuni, filamu ni nyingi nimecheza mpaka nazisahau, na zitatoka mwenzi huu wa 5, ipo filamu ya Nyamayao nimecheza inatoka mwenzi huu pia alimaliza

10176162_1407015386240968_8930064434762630279_n

Na hivi  karibuni tarehe 3-4-2014 walizindua filamu mojawapo ambayo alicheza vizuri sana   Filamu mpya inayoitwa The stolen dream uliofanyika  Mwanza uwanja wa Ccm kilumba, uzindunzi huu ulisindikizwa na Wasanii wa Bongo movie, pamoja na wasanii wa Bongo Fleva,

10325734_1409856229290217_8456029634022620161_n  10176131_1406810036261503_931814701588820169_n

10270737_1406803979595442_5566160801410141279_n
Annasiri msangi akiwa na Bi mwenda ndani ya filamu mpya ya duma ya kinyongo
10320436_1410630375879469_8094984393063849441_n
Annasiri Msangi akiwa na Irene paul location

filamu aliocheza na marehemu kanumba bonyeza hapa

https://www.youtube.com/watch?v=IYy10wJzwFE

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more