All posts by rose

SHEREHE ZA HALLOWEEN NI ZA MASHETANI /ASEMA YOUTUBER /VLOGGER FREDERIC KAMILI

Mwanaharaki Frederik kamili Mcongo anaeishi Cork nchini Ireland , Apingana na utaratibu wa watu kusherehekea sherehe maarufu duniani za HALLOWEEN Asema sherehe hizo ni za mashetani , hata mavazi pia ni ya kimapepo na mashetani , Msikie zaidi hapa chini akiongelea kuhusu sherehe hizo , usisahau kusubscribe kwenye chaneli yake kulike na kushea

Wewe una mtazamo gani juu ya sherehe hizi ni sawa watu kusherekea unafikiri zinausiana na mashetani , nenda ukomenti kwenxye chaneli ya frederik kamili tuweze kujadili zaidi, Asante

kuangalia video zingine za Frederik kamili cheki hapa chini

ttps://www.youtube.com/watch?v=-3E7LmY7GSY

Muigizaji Kay sasa Aingia rasmi kwenye Muziki, Sikia Maajabu aliofanya kwenye wimbo huu RUDI.

Muigizaji nyota kutoka VAD FILM COMPANY yenye makao yake nchini Denmark baada ya kuhiti na kukubalika katika filamu nyingi alizocheza , Hatimae ameamua kuingia jumla kwenye mziki na kuachia singo yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la RUDI , kujua mengi kuhusu kay ambaye kwa sasa amejitambulisha kama D.BLO jina analotumia kimuziki boneza hapa chini kusikiliza wimbo wake huu RUDI usisahau KUSUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE CHANEL YAKE NA KUTOA MAONI JUU YA WIMBO WAKE HUO RUDI

huu ndio wimbo wa D.BLO Uitwao RUDI

WIMBO huo wa rudi unapatikana kwenxye platfom zote kuanzia youtube , Spotify , Aplemusic na mitandao yote hakikisha unainjoy .

Kay Shabani Msabaha (born 15th February 1995) lives in Denmark from Drc congo. Songwriter and Dancer, stage name D.BLO waweza mfolow pia kwenye mitandao yote ya kijamii kwa jina la
Facebook: D.Blo
Instagram: D.Blo1
Snapchat: D.Blo
E-mail: Msabaha94@hotmail.com