Baada ya Hamisa Mobeto kumtibua upya Zari, Zari ajibu mapigo Asema hivi

Baada ya Hamisa Mobeto kumtibua upya Zari ikiwemo kumuita mcheza picha za hovyo, Zari ajibu mapigo. Kupitia Snapchat Zari amepost picha kadhaa akiwa na Diamond na kuweka captions tofauti kwa kusema
.
“Bora mimi cha***doa mzee niliye na mafanikio na bado ananipenda kuliko kijana wa miaka 20+ mama uliyeachwa solemba mara mbili na tuzo juu #MchepukoUsioNaAKili #MweweWaMwaka”
.
Ujumbe mwingine Zari amesema

“Kijana, kijana kila siku kijana, kijana na mzuri lakini huwezi kutafuta mwanaume wa kwako mwenyewe….namna chan**doa usivyojiamini, Kama unajiamini na uzuri na akili basi acha tuone mwanaume gani atakutaka baada ya drama hizi, baby daddy 3 loading ukiwa na miaka 20+ atakuwa mjinga pia”
.
Zari akaongeza “sio wewe cha***doa uliyelia social media ukidai Lulu kakuibia bwana’ko lakini umegeuka kufanya hicho hicho ulicholilia wakati unajua inavyouma, Mungu hawezi kubariki furaha yako juu ya maumivu ya mwanamke mwingine…ng’oo!!!”
.
“Unaweza kupost picha zote za nyuma ukiwa nae, lakini tayari nimekwisha msamehe makosa yake yaliyopita. Siwezi kubadilisha historia….nimechukulia kawaida naendelea kujenga maisha yangu ya kesho” Amesema Zari na kusisitiza
.
“Uchawi wote unaisha nguvu na sasa anarudi kwa akili zake kumrudia”

CREDIT TRIM SALEEM INSTAGRAM SWAHILI-WORLD

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXhttps://www.youtube.com/watch?v=ItYZ56EHOrw&t=112s