Baada ya Muigizaji Solange sasa Claurice naye apata Mtoto wa kike

Si muda Mrefu toka mwigizaji wa kundi la VAD Solange  ajifungue mtoto wa kike mwishoni mwa mwaka jana , siku ya jana tena mwigizaji mwingine wa kundi hilo ajifungua mtoto wa kike . Tukiongea na mwigizaji mmoja wa kundi hilo alisema hakika hii ni baraka kwa kundi letu la VAD licha yakuwa tunapata  watoto , pia wanweza kuwa waigizaji wapya na wakubwa baadae tuna furaha sana .

10857784_1014114475271988_992801453100072737_n

Muigizaji solange alipokuwa mjamzito

10897754_1021444251205677_8990485818761536835_n

mtoto wa  Solange DAVID

1620896_1005781129438656_6320906710450896781_n

SOLANGE AKIWA NA familia yake

Habari ya furaha iliyotufikia kwa siku ya leo inatoka huko nchini Denmark kwa kiongozi wa kampuni la VAD Film Production Safari Lukeka ambaye mke wake pia ni mwigizaji wa movie kwa kampuni ya filamu nchini Denmark kujifungua mtoto wa kike.

10460863_10205588332858312_8277423185838735599_o

 

Habari ihi ya furaha imekaribishwa vizuri sana na mashabiki pamoja na waigizaji wenzao waliomkaribisha mtoto huyu kwa furaha kubwa sana. Na sisi kama  Swahili Movies tunamkaribisha mtoto huyu kwa furaha kubwa na kumpa mama Mzazi Claurice Safi na mme wake Safari Lukeka pongezi kubwa kwa kumleta kiumbe hiki duniani.

10606143_860881147308781_5168896196907988518_n

Mwigizaji Claurice Safi alipokuwa mjamzito.

 

1399207_10204728024791148_5089709402608267544_o

Claurice pamoja na mme wake Safari Lukeka wakisherehekea Christmas mbele ya kumpokea mtoto wao

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Umoja Radio

Tupe maoni yako hapo Chini..!!