Bifu la ALLI KIBA NA DIAMOND KWISHA ; VICOBA IMEWAPATANISHA LEO

 

10418316_1003296676363291_235271750713458937_n

Taasisi ya utoaji mikopo VICOBA TANZANIA imemaliza ugomvi kati ya msanii Ali Kiba na Diamond na kuwaunganisha kua kitu kimoja na kutegemewa kufanya kazi kwa pamoja.

Uongozi wa vicoba umesema kua sababu ya kumaliza ugomvi wa Ali Kiba na Diamond ni kutaka kuwaweka pamoja ili waweze kufanya TANGAZO la pamoja kuhusu Taasisi hii ya utoaji mikopo kupitia mfuko wa Utoaji mikopo wa Online uitwao FOCUS VICOBA kuanzia mwezi wa 12 Tangazo hilo litakua tayari na kuanza kurushwa katika vituo mbali mbali vya TV.

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!