Big JJ aja na filamu mpya ya kiingereza aliowashirikisha mastaa kibao , Lucy komba (Tanzania)Dabba toka(Liberia)Frank Artus(ghana)NA WENGINE KIBAO

Muigizaji na mmiliki wa kampuni ya  filamu ya Big jj  ameingia location tena akiwa na filamu mpya amiomshirikisha nyota kutoka Tanzania Lucy Komba , Big jj Aliandika haya kwenye ukurasa wake wa kijamii

 I was so busy this week making movie,I know I didn’t attend to any appointment or taking any calls.its because I was so so busy with another project.like I always say I will never disappoint you guys.soon I’m going to Hollywood and I will keep my promise. I will make good movies and you will like it.
12141795_1702521083300709_1303281281839224857_n
Lucy komba akiwa na Big jj behind the scene

Nae star huyo  Lucy komba kutoka tanzania aliandika haya

Tunamshukuru Mungu tena anatusimamia katika kazi mpya ambayo tumeianza, kazi hii inafanyiwa shooting Danmark na Ghana kazi hii iko katika lugha ya kingereza kwa kuwa sasa tunaangalia soko la kimataifa, waigizaji ni Lucy Komba toka Tanzania, John (Bigjj) Toka Congo, Dabba toka Liberia, Frank Artus toka Ghana na Christabella Ekeh toka Ghana,
Cameraman and director: Dieu Benit, Chini ya kampuni ya Bigjj Olenga

Hizi ndio picha za behind the scene mashabiki mkao mkao wa kula

 

12141635_1702521186634032_717245387305971664_n

12074748_873993335982900_5138912840065194708_n

12140209_871992466182987_2320528734975384956_o

12105986_1702521216634029_2215991006342981488_n

 

12107076_1702521129967371_4669614389057626309_n

12079499_873993252649575_6495782686514161765_n

12113311_871997866182447_6914483622645473936_o

 

12144736_873993425982891_8792389322821554449_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!