Big jj in America akija na filamu mbili kwa mpigo

Big jj akiongea kutoka   unitéd  State of America juu ya projekti  mbili,  yakufanya filamu  zake huko  msikilize hapa

Mi niko America kwa sasa nikifanya filamu zangu mbili kwenye miji mikubwa kabisa ya  Atlanta na  Georgia mu miji mikubwa kabisa anaoishi nyota wa music star usher raymond  kuna mambo mengi katika filamu zangu hizi pamoja na uwezo wa hali ya juu tulioufanya lakini pia mazingira mazuri sana na technolojia ya hali ya juu.

Angalia picha hapo chini Big jj akiwa America

10287084_646242125424690_2032230927_n 10306864_646238982091671_1076205389_n1410255269_646238985425004_899643480_n

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies