Category Archives: NEWS

Shilole Amchukua Yule Binti Alietoroka Kwao Kwa Sababu ya Kulazimishwa Kuolewa

 

wema_sepetu765 - Kopie

“Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na  milipata kuskia story ya huyu binti hapa kwenye picha!

Kuwa ametoroka kwao Tanga kuja Dar kwa sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote inayochukuliwA huko vijijin zaid ya kumalizana kifamily! Ili jambo la wasichana kuolewa wakiwa wadogo hata shule hawajamaliza linanikera mnoooo mnooo jamani dah! !

Hivi nyie naomba serikali itiemkazo jambo hili watu wenye tabia kama hizo hatua kali za kisheria zichukuriwe. Bint anaitwa upendo kiukweli anaupendo tup nae hapa anafuraha zote! Mm nikimuangalia ni sawa na bint yangu yaani ni kadogo kabisa dah! Nimejjifikia angewezaje kuishi na mume kwa umri pendo anatakiwa asome ili baadae elim yake imsaidie! Mm napinga ukeketaji wa watoto. Ubakwaji kwa watoto. Mimba katika umri mdogo. Na utoaj mimba.

Je ww???????

Imeletwa kwenu kwa hisani ya shishibaby”-Shilole alimaliza.

Pongezi kwa Shilole kwa moyo uliouonyesha kwenye jambo hili, Mungu akuongezee

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Bongo Movies

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

 

HUYU NDIE KIGOGO WA ITPL /ESCROW ANAYETINGISHA NCHI YA TANZANIA;PIA ALIESABABISHA CHAMA CHA KANU KENYA KUANGUKA

huyu ndo boss wa IPTL/ESCROW ambaye anacheza madili na viongozi wa serikali ili kuihujumu nchi yetu pia boss huyu ndiye alisababisha chama cha KANU nchini kenya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu baada ya baadhi ya viongozi wa serikali ya KANU kucheza dili na huyu IPTL na kuiingiza mkenge serikali ya kenya.
leo hii amehamia Tanzania anakula dili na vigogo wa serikali kuliangamiza taifa umeme umepanda bei kwa ajili ya nguruwe pori huyu akisaidiana na mamba na viboko walioko serikalini.
1535494_564057277072325_446477924611931205_n
inasikitisha na inauma sana pale ambapo umeme ulikatika kwenye miji yote ya tanzania kwa muda wa siku 2 wakati suala hili linaendelea bungeni,wapiga debe,machinga na maskini wengine walichanga pesa sehemu mbalimbali mbeya mjini na tukuyu wakanunua mafuta na kuweka kwenye jenereta ili wawashe tv waone kiama cha wezi wa pesa za escrow lakini cha kusikitisha ni pale wabunge wa ccm wanapoacha majukumu yao na kuanza kuwatetea wezi wa pesa za escrow bila aibu yoyote hakika inauma sana.yani watu wameingiliwa umeme umekatika wanenunua mafuta ili waangalie bunge wabunge wa ccm wanatetea uovu?
ndugu zangu hakika umefika muda wa kufanya maamuzi magumu .

Mdude Chadema Nyagali's photo.

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :http://www.tanzaniaclassic.com

POSTED BY : Hamm Chande