Category Archives: europe

mfahamu msaniii mrembo aliyeanzia kuigiza kanisani

mimi jina langu ni bethlehem zelalem mu Ethiopia mzaliwa kenya naongea lugha 3 English kiswahili na lugha ya wazazi na pia lugha ya ki holland

  1538668_479941288774504_8167883335420772445_nActress Beth zelalem

mimi mtoto wa kwanza kwetu,nimekuja na wazazi baba na mama hapa Holland,niko na two brothers but mimi naishi kivyangu sipo na wazazi mimi nimeolewa na jina kamili ya mume wangu ni Alex Bikorimana ambaye ni president wa group cha ngg production

10152425_479945632107403_5651200361613554220_nActress Beth zelalem na familia yake

nimeanza kuigiza in summer time 2012 movie ya kwanza iko kwenye youtube umdhaniae kumbe sie

1529901_656770124364352_1709377694_o

 

kuna movie ambayo nilimsaidia Sallai majasiri njoo ya kwanza but I don’t no kama imesha toka that’s why  nasema ” umudhaniae kumbe sie ” niyakwanza sababu  imesha toka

Nilianza kucheza kwanza kanisani vitu mimi nilianzia kwa theater ya kanisa kucheza mbele ta watunikitu napenda sana njoo sababu mimi niko kwa film

SONY DSCActress Beth zelalem behind the scene   ndai ya filamu yao mpya

kundi ya ngg-production.com ni kundi ipo nchini Holland haina ubaguzi kila kabila tofauti zinakaribishwa .

kwasababu kuwa ngg production ni kundi ambalo tunapenda kufunza jamii yakisasa na pia kuelimisha watu tutakuwa na uzinduzi ya why facebook on 0 2-05-2014  yani hivi tuko kwene maandalizi.

SONY DSCActress Beth zelalem  Alex , na Blandine Wakengo behind the scene   ndani ya filamu yao mpya

Busy na kuandaa program vile itakuwa na mimi niko moja wa viongozi mimi ni mtu napenda sasa heshima kama mke au mtu nimeolewa

ndio nivingumu saa moja kusema tunamuitaji flani kutoka ngg group aje atu help nisawa kabisa ila ukifwata mtu muhusika

coz tunafatwa kazi zetu very well zaidi nitaongeza wasanii tuwache wivu na chuki kwa kazi ya wenzetu magazeti eti flani amesema hivi haipendezi  itakuwa tunafunza kuigiza movie ao kuigiza wivu? ?

so tupendane tuwe na umoja na tu support each other kwa kazi hatutafika mbali bila upendo na umoja

10153044_479945608774072_1415436425705943495_n

mwisho mimi napenda sana ndoa yangu na niko very happy with my life sikosi kitu ndoa ninayo kugaramiwa ninagaramia kama mke anapashwa kuwa

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

 

 

 

 

 

 

Big jj awataka wasanii waache roho ya wivu

Big JJ Muigizaji na mmiliki wa kampuni ya  Big JJ FILM PRO anayefanya vizuri scandinavia na Ulaya kwa ujumla kwa kazi zake nzuri za film  , amefikia hatua ya kuwataka wasanii wenzake kuacha wivu baada ya tatizo kubwa kutokea,    Big Jj alisema kuwa yeye anaweka Video kwenye youtube kusudi mashabiki wake waelimike na kuburudika bure kabisa ,

324691_250272421688331_819963892_o

lakini anasema waigizaji hawapendani baada ya kupata ujumbe kutoka kwa kampuni ya youtube  kuwa kuna watu wamelipoti kuwa video yake ni spam na kupelekea filamu hiyo kufungiwa ikiwa tayari mamilioni ya watu wameangalia, kikendo hiki hakikufurahishwa hata kidogo na Msanii huyu BiG JJ na ndipo alipoamua kutengeneza video ili kutoa ujumbe kwa wasanii wote kwa lengo la kuonyesha kuwa alichofanyiwa si sahhihi bonyeza hapa kuangalia hiyo video

https://www.youtube.com/watch?v=Fh_cLKNDa3c

 USHAURI KUTOKA SWAHILI MOVIES KWA WASANII  TUJIKUMBUSHE

Tukio hili sio mara ya kwanza kutokea huku ulaya kwani kutokana na makundi kuongezeka na kuwa na ushindani wa kikazi mkubwa unaoendelea kwa sasa kitendo cha kufungiana filamu youtube au trailer kimekua kikubwa sana na hata siku za nyuma kampuni ya VAD Ilishalalamika kufanyiwa kitendo kama hiki,

USHAURI

kufungiana Video sio solution ya kumshusha mtu au mtengenezaji FILM  kwani baada ya muda ataiweka na mashabiki wake watarudi palepale ila si jambo la kiungwana kwa nyinyi mnaofanya vitendo hivyo muwe ni wasanii au watengenezaji filamu au tu watu binafsi kitendo hiki sio kizuri kwani malipo ni hapa hapa duniani unapomsumbua mtu anayepoteza muda wake Mungu hakika atakulipa , bali kama wewe kundi lako au kazi zako unataka zipande kwa nini usifanye kazi bora na nzuri , au kuomba msaada kwa Big jj au makundi mengine usaidiwe .

885869_478841275498110_2004588571_oBig JJ on action

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more