Category Archives: films

PASTA MYAMBA KUFUNGA NDOA AUGUST 2

Pastor MYAMBA NA MONALIZA
Pastor Myamba na Monaliza behind the scene

Msanii wa filamu nchini{TZ}, Emmanuel Myamba aka Pastor Myamba anatarajia kufunga ndoa na mwanadada Trakseda Kasela,Ndoa itayofungwa August 2 huko visiwani Zanzibar.
Akizungumzia hilo Pastor Myamba amesema kuwa huu ndio wakati wake ambao ameamua kuutumia kufunga ndoa na kukaa na mke wake pamoja.
“Mwezi wa nane tarehe mbili Mungu akinijalia nitakuwa naoa, mke wangu ni wa hapa hapa Dar es Salaam lakini sio msanii, sipendi kuoa wasanii bwana, wasanii mambo mengi,” amesema Myamba. “Mpaka sasa hivi ninatoa tu taarifa nadhani harusi yangu haitafanyikia kanisani na itafanyikia kwenye garden huko Zanzibar. Mpaka sasa hivi bado nipo kwenye maandalizi ya mwisho, kwahiyo msishangae siku ya mwisho nabadili baada ya kwenda kufungia Zanzibar nikafanyia hapa hapa. Lakini kila kitu kipo sawa kwamba natarajia kuoa sasa na kuishi pamoja na mke wangu, ninayetarajia kumuoa anaitwa Trakseda Kasela.”alisisitiza Pasta Myamba.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Big jj Olenga aja na mpya kwenye tathinia ya film icheki hapa

 Muigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya filamu scandinavia Big jj anayejulikana kwa BIG JJ OLENGA baada ya kufanyiwa ubadhilifu youtube ameamua kufungua website mpya ambayo washabiki wake wataweza kuangalia film zake kwa urahisi na bila kuwa na mashaka yoyote ya kuondolewa , 328994_404055039643401_6832790_o
Big JJ
Swahili movies baada ya kuongea naye kabla ya kutowa link kwa wapenzi wa filamu zake zinazofanya vizuri scandinavia na ulaya kwa ujumla alikuwa na haya ya kusema ,
kupitia ile mambo watu walini    fanyiziyaga sasahivi nimefunguwa na kucreate  new systemi inayoweza kusaidia mashabiki wangu kuangalia filamu dunia nzima lakini pia kuonyesha njia kwa kampuni nyingine jinsi ya kuweza kuuza filamu zao kwa njia ya online ambapo ni rahisi na salaweka pesa kidogo na shabiki wetu wote wa dunia nzimaa wataweza kuangalia movie zetu
599566_427127534002818_609543119_nWaigizaji wa Big JJ Denmark
Lakini ikumbukwe nimefanya hivi si kwasababu tu watu walilipoti video zangu na kuondolewa youtube hapana bali kuonyesha maendeleo ya kazi zetu na kuonyesha upendo kwani ni vizuri watu wakipendana kama wasanii ni vizuri kusonga mbele na ukusaidiana.
BONYEZA LINK HII ILI UWEZE KUONA PROGRAM MPYA
http://www.africanmovie.biz/
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more