Directoer jay aliamua kutuendea hewani baada ya kuchoshwa na kitendo cha kufutiwa filamu zao wanazokuwa wameweka youtube kwa lengo la kuwaonyesha mashabiki wao kazi mpya ili waburudike badala yake baadhi ya watu inasemakana wa makundi mengine wamekuwa na tabia ya kuripoti video hizo kama spam au kama kuna sura zao kwa wausika wa youtube na kupelekea video hizo kufungiwa, kitendo hicho ambacho kimetokea si mara moja ndipo wiki iliyopita kundi hilo la V.A.D lilipoweka trailer yake mpya ambayo wamecheza na mwanamuziki maarufu Tanzania Mr nice , filamu ya Nimuamini nani ndipo watu hao waliiripoti na kusababisha video hiyo kufungiwa msikilize Director akiongea
Director Jay akiwa na wasanii na marafiki wa VAD
“nakahandikeye watu hao kwamba sisi watu wa v.a.d hatutaki lawama namtu kama wanataka kundi zao zijulikane basi wafanye kazi zao sitaki lawama na mtu wala sifanyi mashindano na mtu nawajuwe sihogopi mtu
najua huo ni wivu maana trailer ya movie yetu mpya ya Nimuamini nani ina wikimoja tu na waliyo iangalia ni watu wengi sana maana mashabiki wa V.A.D ni wengi mno sisi tumeiweka kwa ajiri ya mashabiki wetu kwa hiyo tafadhali wewe au nyinyi mlioifuta hatutaki matatizo na mtu.” alimaliza
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more