Category Archives: fun

UZINDUZI MKUBWA WA FILAMU DENMARK MASTAA LUCY KOMBA ,CLOUDS 112, CLARICE , SELEMBE TOKO WATAKUEPO

VAD FILM PRODUCTION IKISHIRIKIANA NA AIMUS INTERTAINMENT INAWALETEA UZINDUZI WA FILAMU ZAO MBILI MPYA FILAMU ZA KUJISAHU NA FILAMU YA QUEEN , kwenye uzinduzi huu kutakuwa na mambo mengi kama standup comedy itakafofanywa na mchekeshaji maarufu mtanzania MWALUBADU , pia mastaa wengi watakuepo kama LUCY KOMBA , CLOUDS 112, SELEMBE TOKO , CLARICESAFI , RIZOZ BABINGWA ,SAFARI LUKEKA , BLACK, TATU ,DANIEL,KAY MSABAHA JAZ MSABAHA NA WENGINE WENGIII

ILI KUWEZA KUHUDHULIA UZINDUZI HUU WAHI SASA NUNUA TIKETI YAKO ILI USIKOSE NAFASI , kushuhudia MASTAA WAKO WA ULAYA NA AFRIKA . VINYWAJI MZIKI NA MAMBO MENGI YATAKUEPO SIKU HIO YA TAREHE 31MWEZI WA 2 KATIKA UKUMBI WA SVERRIGGARDSVEJ 4,9520 SKORPING DENMARK KWA MAELEZO ZAIDI KUNUNUA TIKETI NA JINSI YA KUFIKA PIGA SIMU NAMBA +45628578656

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX


HARUSI YASHILOLE YAFANA , YAUZURIWA MASTAA KIBAO WENGINE KUTOKA ULAYA


Hakika shilole ni mtu wa watu , jana KWENYE Harusi yake ilidhiirisha hiyo baada ya ma
kummiminia mazawadi.

Katika harusi hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Couple ya Jux na Vanessa BABU TALE ; Dogo janja na uwoya , Diamond platnumz na wasafi kwa ujumla , jokate, lakini DJ Maarufu kutoka holland DJ Hatib Must ALIKUEPO NA mbunifu wa mavazi anayeishi ufaransa Kash Mlenzi Lassalle wote walipata chance ya kumpongeza msanii huyo walipata fursa ya kutoa nasaha na kumpongeza Shilole kwa kufunga ndoa pia wakimpongeza Uchebe kwa kumpata mke aliye bora na kummiminia zawadi za kutosha

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


https://www.youtube.com/watch?v=dHB_WTuqKq8

https://www.youtube.com/watch?v=DpV3RdvFZrM