Category Archives: Movies

kumekucha V.A.D Waja na sehemu ya nne Episode ya nne ya Tamthilia ya MAWENGE ; WASANII WAPYA NDANI

Wale wakali wa filamu na Tamthilia za kiswahili kutoka nchini Denmark waja sasa na sehemu ya nne ya tamthilia yao inayoendelea youtube ya MAWENGE tarehe 06.04.2019 kama kawaida imejaa wasanii maarufu löakini pia sura mpya yaani waSANII WAPYA kabisa tegemea kuwaona toka tamthilia ya mawenge.
Swali tunayo kwa nini roho za YUDA na KAINI uendelea ku tawala na kuongezeka jamani? watu tujifunze kuwa na roho za uruma na tusijipende wenyewe bonyeza link chini kucheki tamthilia hio ya mawenge au waeza watafuta youtube kwa jina la kampuni yao VAD FILM PRODUCTION

walie cheza ni wasani kutoka inchini Danmark kundi la V.A.D the voice of africa in Denmark
Ndani ya EPISOD iyo utakutana naye Lucy Komba, Selembe Toko, Safi Happy, Kay Msabaha, Safari Lukeka, Tatu Musa, Agnes Sakina na wengine wengi/54279298_435392997202701_9145456304993599488_n.png” alt=”” width=”960″ height=”540″ class=”alignnone size-full wp-image-4779″ />

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXAIBU KUMBE RAY C KAIBA MZUNGU MUME WA MTU (STORY KAMILI)

Siku chache zilizopita mwanamziki wa Tanzania ambaye amerudi kwenye muziki baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya yaliyomfanya si kupoktea kwenye mziki bali kumuaribu afya yake na hata kumpelekea kuuza mali zake zote alizowai kumiliki pamoja na nyumba aliyokuwa akimiliki .

Licha ya raisi ya Tanzania kumsaidia lakini ilimchukua muda mwanamziki huyo kupona katika uteja huo wqa madawa ya kulevya , nna kurudi kwa pupa kwenye mziki mbako bado hajahit kama ilivyokuwa enzi zake
ndipo alipoibukia kwenye sakata la kumuiba mume wa mtu


kujua kisa zaidi cha mkasa huu bonnyeza link hapo chini kusikiliza na kuangalia picha za ray c na mzungu huyo anayejigamba kwney intsgrma kuwa ni mpenzi wake na kuangalia pia picha za mzungu huyo na mkewe usisahu kutoa maoni yako na kusubscribe chaneli yetu youtube

https://www.youtube.com/watch?v=GBtRtFvQqVs

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx