Category Archives: Movies

VAD WAJA NA TRELA YA FILAMU YAO MPYA MWASITU NI BALAA

WAKALI wa filamu na Tamthilia ulaya VAD FILM PRODUCTION WENYE MAKAZI YAO NCHINI DENMARK WAJA NA FILAMU MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA MWASITU CHINI YA DIRECTOR JAY MSABAHA

MWASITU IMEJAA SIO TU MASTAA WAIGIZAJI WABOBEZI BALI PIA KUNA SURA MPYA WAIGIZAJI HAO KWA UJUMLA NI KAMA SELEMBE TOKKO, CLARICE SAFI, KAY MSABAHA ,SAFARI LUKEKA ,RIZOBABINGWA, Mufalme Flo na wengine wengihttps://www.youtube.com/watch?v=g_zulFVccAs

balaa VAD FILM PRODUCTION WAJA NA MOVIE MPYA MWASITU CHEKI PICHA ZA BEHIND THE SCENE HAPA

kama ilivyo wakali wa filamu nchi za scandinavia VAD Film production waja na filamu mpya MWASITU ikiwa si tu na waigizaji nguli kama CLARICE SAFI , SELEMBE TOKO,KAY MSABAHA

Dieu Merci Ngandu, AkonkwaMosiez Balée,Park Min Bernard Kabiona,Ritta Zongwe

bali pia na waigaji wapya kabisa kwenye tasnia angalia chini baadhi ya picha za behind the scene na interview bila kusahau kusubscribe ili movie hio ikitoka uwe wa kwanza kuangalia

LOCATION
LOCATION
LOCATION DENMARK
LOCATION
LOCATION
LOCATION