Category Archives: Swahili

Warembo wa v.a.d wachanganywa na penzi la Mr nice

1486595_743010015727718_1778987873_n

Katika hali za kushangaza wasanii wakike wanne wa v.a.d  Denmark.  Devotha Alfred,   Tatu  Daniel ,   Vumi Vane   na Solange  Machozi wajikuta wakishare mapenzi  na msanii mkubwa wa music alietokea Tanzania Mr nice

Katika mda  mchache wa wiki moja Mr nice  alifanikiwa kutembea kimapenzi na mabinti hao wanne ,  ambao mmoja ni mke wa mtu , pasipo wenyewe kujua

1475925_1398401843737124_778504884_nVumi vane1525374_781594028524035_1875686869_nSolange David

1525611_449120131861268_125356993_nDevotha alfred

1403140_728308770531176_42007100_oTatu Daniel

kitimutimu kilianza pale mabinti hao walipopiga namba yake na kumkosa na kuvamia nyumba ya rafiki yake .

1476365_778923798791058_435752319_nSolange  na Mr nice on set

1481289_1401553616755280_130539982_n

Vumi vane na Mr nice on set

1471139_449125011860780_1383000543_nDevotha na  Mr nice on set

Hicho  ndio kipande kidogo  alichokicheza Mr nice akiwa nchini denmark  na  wasanii wa Voice of Africa in Denmark  v.a.d  zifuatazo ni behind the scene za upigaji wa movie hiyo. hivyo washabiki mkae mkao wa kula kupata movie kamili .

 

2V.a.d Manager Rizo Babingwa na Mr nice  wakiteta jambo

Mr nice akifanya interview na Rehema Amiry Nkalami wa Swahili Talk radio Denmark

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook    swahili movies .com

USANII NI VITA KUBWA : selembe toko

KUTANA NA MSANII MAARUFU WA FILAMU KUTOKA V.A.D DENMARK , SELEMBE TOKO ANAELIA USANII NI VITA KUBWA .

 

1275597_711119922247290_1766562685_oSelembe toko

JINA LAKO HALISI NI NANI NA UNATOKEA WAPI

Jina langu ni selembe toko natokea congo bukabu.

JE UMEOA AU UNA MCHUMBA

hapana sijaoa wala mchumba

ILIKUAJE UKAINGIA KWENYE MOVIE

ilikuwa ni ndoto yangu ya mda mrefu

NI MOVIE NGAPI UMECHEZA MPAKA SASA

Nimeshacheza movie saba , Moyo wangu , Twinsister , Mistreated girl , Jealous Friend , Tanzania to Denmark na lucy Komba na nyingine mbili bado hazijatoka

MPAKA KUFIKIA HAPO KISANII UNGEPENDA KUMSHUKURU NANI

Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu alienipa uhai na nguvu ,pili ningependa kumshukuru LUCY KOMBA kwa kugundua uwezo wangu na kucheza nae movie yake ya Tanzania to Denmark iliyosababisha nipate mashabiki wengii ulaya na africa

KWA NINI UNASEMA USANII NI VITA

Unajua unapokuwa msanii tu unakuwa tayari kama kioo cha jamii, na kama msaanii wapo watakaokupenda na wapo watakaokuchukia hapo sasa ndio matatizo yanapoanza wataanza kusema ooh umechukua mke wangu ooh una roho mbaya ili mradi tu wakushushe , na wakati mwingine unaweza kupata kazi mtu anatka afanye na selembe lakini kutokana na wivu na chuki binafsi basi mtu anasema kama fulani yupo hatuwezi kushuti mcancel huyu

993809_783082001717748_1952908044_nSelembe na Mr nice new movie

WEWE UNA UGOMVI NA MSANII AU MTU YOYOTE

samahani nisingependa kuendelea kuongelea hilo nitakapokuwa tayari ntaongea waziwazi ila kwa sasa niko kikazi zaidi , kwani nina mengi ya kusema ila naomba niishie hapo ila hii kazi ni kazi ya vita sana.

JE UNA LOLOTE UNGEPENDA KUWAAMBIA MASHABIKI WAKO NA MIPANGO YAKO YA BAADAE KWENYE EUROPE MOVIE INDUSTRY

Nawapenda sana mashabiki wangu wote waliopo ulaya america na africa ila mniunge mkono kwenye kazi zangu na nina mpango wa kwenda africa kufanya kazi na wasanii mbalimbali ili niwape mashabiki wangu radha mbalimbali ila waniombee kwani usanii ni vita

905352_408253362641925_636882487_oselembe na Ashley toto

hahahha swahili movie inakushukuru sana Mr selembe toko kwa ushirikiano uliotoa kuanzia mwanzo mpaka mwisho , kama unaswali au maoni usisite kuacha coment zako au kututafuta kwa facebook page yetu swahili movies .com ……