Diamond Alalamikiwa kumtenga Mtoto wa Hamisa Mobeto

Mashabiki wa hamisa au team hamisa mobeto imeshindwa kuvumilia baada ya kuona Diamond akiwa busy na familia yake sauzi na hasa baada ya kumfanyia birthday ya kukata na kukata na shoka juzi mwanae Nilan ndipo walipokuja juu na kudai kuwa diamond anamtenga mtoto wake aliezaa na hamisa mobetio kwani japo ni kweli anamuudumia lakini haonyeshi ukaribu na mtoto huyo japo kwakumposti mara kwa mara , je nini maoni yako wewe kama mdau komenti hapo chini

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

KWA KUFATILIA MAISHA YA UGHAIBUNI NA VLOGERS SUBCSRIBE KWENYE CHANELI ZAO HAPA CHINI