Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana”

Tofauti na miaka iliopita muziki uliaminika kuwe ni uhuni pia ulionekana sio kazi kamili bali kazi ya kujishikiza , kama tulivyoshuudia wasaanii wengi waliovuma wameshuka na wengine kupotea na kusekana wengine wamefulia licha ya kuwa waliwai kuwa mamilionea , ila hilo limebadilishwa na msanii Diamond kwa kuweza kubaki juu kwa zaidi ya miaka kadhaa .

Hakika diamond kwa sasa ana kila sababu ya kupongezwa kwa kuitangaza nchi yetu kimataifa na kuzidi kuwa mfano kwa wasanii wenzakekwa maendeleo anayoyaonesha kila kukicha. baada ya kusaini wanamuziki wenzake na kuwapromote kufanya vizuri sasa ameonyesha mjengo mpya ambao ndio yatakuwa makao makuu kama haitoshi watafungua pia tv na redio yao itakayoitwa wasafi tv na wasafi fm , Zari nae mke wake hakukaa mbali na kumpongeza Diamond kwa kufanya kazi kwa bidii. amesema haya “Hongera sana Diamond Platnumz kwa juhudi na bidii uliyonayo Allaah akujalie kwa mengine mazuri zaidi. Siku zote umekuwa mpiganaji wa kazi zako, kwa kuwa njia pekee ya kuijenga familia ni kupiga KAZI najua malengo yako Alhamdulillah!
#wcbTV #wcbFILMSTUDIO#wcbMUSICSTUDIO #wcbRADIO#wcbHEADQUATERS bilakusao #DiamondKaranga na #ChibuPerfume 2018 looking good๐Ÿ‘Œ๐Ÿ™”

Said Fella amesema kuwa TV na Radio WCB zitaanza kufanya kazi mwezi February 2018 na hawajanunua jengo bali wamekodisha sababu wanajitanua zaidi kibiashara. Mkubwa Fella amesema jengo hilo lipo mbezi beach na wao hawatajihusisha na burudani pekee Bali vipindi vya aina zote vikiwemo vya kijamii na taarifa ya habari katika kuendelea kutoa fursa za ajira hasa kwa vijana.

Amesema wameajiri pia wataalamu wenye uzoefu kwenye fani hiyo ili kuwasaidia zaidi. una lipi la kumwambia Daimondcomment hapo chini.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx