DIAMOND ATIMIZA AHADI SOMA HAPA ALICHOKIFANYA

DIAMOND ATIMIZA AHADI YAKE YA KUWASOMESHA WATOTO WALIOSHINDA KUCHEZA NGOLOLO

D-shule-4

Licha ya kwamba mwanamuziki superstar wa Tanzania Diamond Platinumz hakufanikiwa kusoma kwa kiwango cha juu lakini bado anathamini na kuona umuhimu wa elimu kwa mtoto na mtu yeyote yule katika ulimwengu wa sasa ulioshikiliwa na utandawazi ambapo elimu huwa moja ya silaha muhimu sana. Kupitia mtandao wake jana Diamond aliweka picha za kutimiza ahadi yake ya kuwasomesha watoto walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo ambalo lilifanyika mwishoni mwa mwaka jana katika show yake.

Watoto hao watasomeshwa katika shule ya East Africa International School iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam na jana hiyo hiyo Diamond alitinga shuleni hapo kuwaandikisha watoto hao tayari kuanza masomo. Diamond ambaye umaarufu wake upo mpaka nje ya Tanzania aliandika ………………..

Capture1d-shule-7Diamond Platnum akiwa na mwalimu mkuu

D-shule-4Diamond Platnum akiwa na watoto ambao anawasomesha

d-shule-8Diamond Platnum akiwa na wazazi wa watoto

D-shule-6Diamond Platnum akiwa na mwalimu mkuu

all images by Wasafi(This is Diamond)

Habari kwa msaada wa swahili World Planet blogsport

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies