Kutokana na program ilivyoanza kuonyeshwa kwa filamu za Voice of Afrika in Denmark V.A.D Film Production , na watu kufurahia filamu hizo na kuomba kuonyeshwa tena basi President wa VAD alikuwa na haya ya kusema .
Habari njema kwa wana Burundi, Uvira, Bukavu na Goma Nina furaha kubwa na kuwashukuru watu wa Burundi kufurahia filamu zetu kama ya IF I KNOW iliyokuwa imeonyeshwa katika Televion ya Taifa ya Burundi , na kutokana watu waliipenda sana hivyo tuna mpango wa kuionyesha tena kipindi cha sikukuu ya Noeli yani Christmass kuonyesha filamu yetu nyingine ya TANZANIA TO DENMARK katika television hiyo hiyo ya Burundi na GOMA pia itaonyeshwa.
kwa sasa kuweza kusikia na kuuliza mambo yote yanayousiana na kazi zetu au filamu zetu basi hakikiahsa haukosi kuangalia filamu zetu kwa muda huo tulioutangaza pia kufatilia vipindi vya redio MESSAGER DU PEUPLE UVIRA ina weka vipindi vya V.A.D na watu wanauliza maswali na kuweza kupewa majibu na maelkezo kuhusiana na kazi zetu .
Alimazia kuongea President wa V.A.D FILM PRODUCTION
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
POSTED BY : Hamm Chande