Katika mapumuziko ya pasaka wachezaji wa v.a.d film production ya Denmark walifunga kambi kwa pamoja na kumalizia filamu zao mpya mbili. Lakini katika pirika pirika na kuelekea location tofauti tofauti pamoja na wachezaji wote na gari zao 4. gari liliyo kua ya kwanza ili pasuka taili wakati walikua kwenye bara bara ya kasi kali gari zingine ziliokua karibu nao Mungu alisaidia kuweza kufunga breki na gari iyo ya kwanza kulikokua na wachezaji 5. ila wote walifanyikiwa kunusurika. na jana wakati walifunga kambi walifanya sherehe kwa pamoja na wageni wao wa2 pia kutoka Afrika Mardalena na Abu. na hapo chini ni picha za sherehe iyo na ajali iyo….
Picha za gari ya VAD iliyopata ajari
Picha za wasanii wa V.A.D Wakiwa kwenye sherehe ya kufunga kambi ya shooting Aalborg Denmark