G.A. M.C. awataka mashabiki wake wakae mkao wa kula

 

gmc

 

Kwajina la kisanii anaitwa G.M.C. na kwajina la kawaida anaitwa Geoffrey McLaughlin, kijana kutoka Tanzania ambaye tangu utoto wake alijikuta akiwa na kipaji cha kuimba. Msanii huyu ambaye anatoka Tanzani ambako ndo alizaliwa anakaa Denmarken na kufanya kazi zake huko. Geoffrey ametoka Tanzania akiwa na miaka midogo sana , mpaka sasa ameishahishi miaka mingi sana Denmarken .

1012568_10202797759558782_3088842322734911626_n
Kutokana kwamba msanii huyu amekaa mda mrefu sana Denmarken , lakini ajasahau kwao alikotoka huko Tanzania. Mama yake pia anaishi inchini Denmarken na huyu ndo anaye mpa pia support kubwa sana. Kipaji kama uko nacho uwezi kujificha kwasababu utakuta ukianza kufanya kitu kama hicho. Kuna wakati alifika msanii The black kutoka inchini Uhollanzi. Baada hapo msanii Geoffrey akaanza collaboration na The black. Mawasiliano haya yakazaa matunda na wakapiga mziki wa Remix kwa pamoja. Wimbo uhu wa The Black ” Jinsi niliyokupenda” .
Baada ya wimbo uhu msanii Geoffrey hakukaa kimya ilikuwa kama vile kwenda kuamshwa. Baada ya hapo aliingia studio na kutoa nyimbo zake mbili. Nyimbo hizi alienda kuzifanyia nyumbani Tazania akisema kwamba kule anajisikia kama yuko nyumbani na mambo ya kule ni mazuri sana. Mpaka sasa G.M.C. anaendelea na maandalizi mengine ambayo yako ndani kuandaa Video ya nyimbo zake ambazo anasema atazishuti huku Ulaya. Ila bado maandalizi yanaendelea kuhakikisha kwamba video hiyo inatoka moja kwa moja na inahadisiwa kuwa itakuwa video kali.
Wapenzi na mshabiki wa msanii huyu wanaaidiwa wakae chonjo ili wasubiri vitu vipya sana kutokana kwamba anawaandalia vitu vipya na wasikate tamaa. Msanii Geoffrey anaitaji support kutoka kwa mashabiki. Support anayoisema sio kwamba watu waanze kuwaza kuhusu pesa, lakini kusikiliza nyimbo zake, ku share kazi kwa ndugu na marafiki.

Mfuate msanii huyu kwenye facebook lake kwajina Geofrey McLaughlin.
NYIMBO ALIZOPIGA MSANII HUYU PAMOJA NA USHIRIKIANO NA THE BLACK.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!