Hamisa Mobeto : Mama Diamond platnumz ananongwa

Siku chache zilizopita baada ya mama Diamond platnumz kukiri kuwa amempiga hamisa mobeto baada ya kwenda nyumbani kwake Madale kumfata Diamond , na Mama Diamond aliongeza kuwa anamchukia sana mwanadada huyo Hamisa MOBETO Kwakuwa alianzisha uhusino na mwane diamond na kufanikiwa kupata mimba kipindi ambacho tayari Diamond alikuwa kwenye uhusiano na mrembo ZARITHE BOSSYLADY Kama haitoshi kipindi hichohicho Zari alikuwa mjamzito wa mjukuu wake NILLAN ,

Lakini licha ya kuwa familia ya diamond kukubalimimba hiyo ya hamisa na kukubali kuilea lakini kwa hamisa ilikuwa tofauti kwani yeye alitaka kuitangazia dunia nzima kuwa mimba hiyo ni ya diamond ndipo alipowaita Shilawadu kumrekodi mama diamond alipoenda kumtembelea hospitali ili tu kuthibitisha kuwa yeye amezaa na diamond licha kwamba aliambiwa iwe siri ukizingatia tayari diamonmd alöikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine

Matukio yote haya yalimfanya mama huyo wa msanii nguli kumchukia hamisa mobeto hata kupelea kutomposti mtotoi huyo wa hamisa katika instagram yake , sasa juzi hamisa alipokwenda tena nyumbani kwa mama huyo anapoiishi na mwanae Madale ndipo mama huyo alimfukuza na kukiri kumpiga na kutokumtaka kumuona hapo nyumbani kwake

siku ya jana Hamisa lipofanyiwa intervuew na Dizzim online kuhusianna na jambo hilo la mkwewe kutokumtaka alijibu hivi UNAJUA WAZAZI WETU UMRI UKIENDA WASWAHILI TUNASEMA WANAKUWA NA NONGWA; INATAKIWA DIAMOND AMWAMBIE MAMAAKE KUWA MAMA AKE ANAONA HIVI IVI DIAMOND ANAONA HIVI, huwezi kumchagulia mwanao .

alimazia Hamisa mobeto unalipi la kumshauri mobeto comment hapo chini.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXhttps://www.youtube.com/watch?v=IyZLxvVtIDQ