Hashim Lundenga na kampuni ya Lino International Agency wang’atuka kuandaa Miss Tanzania

Hashim Lundenga na kampuni ya Lino International Agency wang’atuka kuandaa Miss Tanzania badala yake wamekabidhi mikoba kampuni ya The Look LTD chini ya Basila Mwanukuzi ambaye ni Miss Tanzania 1998. Basila ambaye ni msomi wa elimu ya juu aliyefanya Kazi na umoja wa mataifa atakuwa na kibarua cha kulipa hadhi mpya shindano Hilo lililokuwa habari ya mjini enzi hizo kuliko filamu na Bongofleva

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx