Hatimae vad film production waja na filamu mpya ya mwasitu cheki

Hatimae kampuni ya filamu ya VAD FILM PRODUCTION imekuja na filamu mpya ya MWASITU , PART ONE na PART TWO Ambyo kama kawaida yake imeshirikisha wasanii wake wakongwe kwenye filamu kama SELEMBE TOKO,CLAURIS SAFI,SAFARI LUKEKA, TATU MUSA,KAY MSABAHA,RIZOS BABINGWA , MUFALME JOBAFLO, SIFA OMARI,LULU POWNALL na WENGINE WENGI CHINI YA DIRECTOR MKALI JAY MSABAHA.

Bonyeza link hii kuangalia sehemu ya kwanza na sehemu ya pili ya filamu hii usisahau kusubscribe kwene youtube chaneli yao ya VAD Pia kuwachia komenti kuhusu kazi zao hizi mpya.

Kuangalia picha mbalimbali za behind the scene angalia hapa chini wasanii hao nguli wa filamu ulaya walipokuwa location