Naitwa Alex Bikorimana namshukuru mungu kwa kua nimeoa na nina mtoto mmoja .nimeanza kazi ya sanaa mwaka 2008 kwenye theatre kanisani na kwenye sherehe mbalimbali !Mwaka 2011 ndipo tumeunda group ya film nchini Holland
Alex na mkewe betty ambaye pia ni muigizaji
Group yetu inaitwa NGG PRODUCTION ambayo iko hapa holand na tulianza tukiwa tumeanza tukiwa wasanii watano na kwasasa tuko 21 Mimi ni kiongozi mkuu wa group hiyo. Kwasasa tumeishaigiza movie2, UMZANIAE KUMBE SIYE na WHY FACEBOOK ambayo bado iko studio
kwenye hii movie why facebook kuna mengi sana ni story ambayo inafunza na inaonesha uzuri wa facebook na ubaya wa facebook
Asante sasa wewe ni msanii na mke wako pia ni msanii .imekuaje wote mkawa kwenye fani moja. Je kazi inafanyika vizuri kweli maana shooting za filamu zina mambo mengi
ahahahah kama ujuwavyo usanii ni kazi kama zingine ,nilipojadiliana na mke wangu kuhusu swala ya usanii alipenda sana na kabla ya hapo mimi ni cameraman nilikuwa nikisafiri tena na nnje ya nchi hajawai kuwa na tatizo kwahilo!
Haaahaa ila inaitaj ikipaji .sasa wewe ulianza kuigiza alafu mke wako nae akaingia .wewe ulimpa nafasi sababu wewe ni kiongozi au na yeye anakipaji alishaanza kuigiza kabla. maana watu wengi wanawalalamikiaga viongozi wa makundi au waandishi wanawapendeleaga ndugu ,marafiki au wake zao .Ebu niondolee utata hapo mashabiki wako waelewe
hapo tulikuwa location 1- omba Bukuru katikati director Emanuel mwisho mimi
wanaume : wakwanza RAMA wa2 ni OMBA wanawake nyuma BETTY mbele BLANDINE
wanaume : wakwanza RAMA wa2 ni OMBA wanawake nyuma BETTY mbele BLANDINE
ahahaha hapo mwanzo nilikwambia kama group tumeanza tukiwa watu wa 5 kati ya hawo wa 5 mke wangu pia yuko ndani wala yeye hakuingia kwenye group sio kwasababu ya uongozi nilio nao !!na wasanii wengine tulioanza nao ni GABY KIHOTA ,BETTY ZELALEM ,ANTOINNET ROSI ,THIERRY LWABOSHI
Sasa mwaka umeanza na kazi mpya imemalizika .mashabik iwategeme nini zaidi kutoka kwenu Mna mipango gani yabadae ya kundi Kwa mashabiki wenu
Mashabiki wangu wategemee vitu vizuri sana tofauti na wanavyowaza kwaniabaya group mashabiki wangu wakae wakijua kuwa hakuna siku hata moja tutakuja kuwahangusha kikazi hatulali kwasabu yao! mwaka huu 2014 watajionea wenyewe
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies