Hii inakuhusu, soma mambo 12 toka kwa mwanadada mainda unayopaswa kufanya kijana wa kizazi kipya.

Hii inakuhusu, soma mambo 12 toka kwa mwanadada mainda unayopaswa kufanya kijana wa kizazi kipya.

1532004_786282334719594_146494447_n

 

 

Mambo 12 toka kwa mwanadada mainda unayopaswa kufanya kijana wa kizazi kipya.

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.

2. Jitaidi utafute mchumba sahihi na mjitaidi mfunge Ndoa…

3. Acha kuishi nyumbani kwa wazazi anza kujitegemea na usiende kuishi na washikaji (mageto).

4 Lipa madeni yote ya zamani.

5 Jali sana Afya yako.

6. Kuwa na marafiki wenyechangamoto za maendeleo tena wanaotafuta maendeleo kwa njia halali za kumpendeza Mungu wetu.

7. Anza kununua asset kama ardhi,nyumba, gari,n.k.

8. Jifunze kuvaa kwa Heshma na sii tu suala la kupendeza.

9. Yazamani yote futa anza maisha mapya.

10. Achana na starehe zisizo na maana.

11. Zingatia sana Muda wako maisha ni malengo.

12. Hii ndio kubwa kuliko zote Tenga Muda wako wa kuongea na MUNGU usemezane nae useme shida zako ulipokosea Utubu usisahau kutoa Sadaka, kutoa fungu la kumi, kusaidia wasiyojiweza, na uwe ma moyo wa shukrani………..Mungu atupe nguvu mwaka huu 2014 ……Arise and Shine…….Be blessed…..

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies

Habari kwa msaada wa Bongomovies.com