Chozi Langu ni filamu ya kiswahili inayowahusu marafiki wawili vijana Devotha Alfred (Naomi ) na Blandine. Baada ya Frank Lubeba na Blandine kuoana na kuwa na ndoa ya furaha , lakini maisha yake (Devotha)naomi anakuwa na wivu Baada ya kusikia rafiki yake waliopoteana kwamda mrefu ameolewa , ndipo anapozamilia kutumia kila njia kuvunja ndoa hiyo na kummiliki mume wa rafiki yake je Devotha atafanikiwa na je atatumia njia gani fuatilia FILAMU Hii uone zaidi.
filamu hii inaletwa kwa ushirikiano wa kampuni ya V.A.D FILM PRODUCTION ya Denmark na NGG FILM PRODUCTION YA HOLAND
Actors: Frank Lubeba , Blandine Wakengo ,Devotha Alfred,Alex Bikorimana
Bethlehem Zelalem, Gaby Kihota, King Gen, Sandrine Prince,Antoinette Rossi, adelaya, Solange, Remmy ..Etc
Réalisé par Director- Ally Lulenda.
Director na editor Ally Dex Lulenda
Bonyeza hapa chini kuangalia part one na part two ya filamu hizi
Part two
https://www.youtube.com/watch?v=GT1RueDXvZU
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!