Hii ndio Tunzo aliopewa Muigizaji ASHLEY TOTO Angalia picha hapa kuona ilivyokuwa

Muigizaji na promota  wa wasanii wa east africa nchini ujerumani Ashley Toto apewa Tuzto kwa kazi yake nzuri ya kuprome wasanii wa muziki na hasa wa east africa Tuzo hiyo aliyopewa usiku wa christmass  Asley amesema kuwa anahsukuru sana kwa kampuni hiyo iliotambua mchango wake katika kupromote kazi za  wasaanii wa afrika mashariki ulaya na pia kuraisisha mawasiliano kati ya mapromota wengine na wasanii wa africa  Ashley ameshukuru sana

2VPlOF4k

Licha ya kupokea Tunzo hiyo muigizaji huyo amewataka mashabiki wakoe wakae mkao wa kula kwani mwaka 2016 amefungua kampuni yake ya fimau inayoitwa ATM au ASHLEY TOTO MEDIA. hivyo ashley amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kwene uwanja wa filamu na kusema anawapenda sana.

4KnHgHHQ

Actress ashley Toto  akiwa ameshika Tunzho yake

8jOxbIZh  988772_522120987948084_7731947930321248672_n   1931335_522121127948070_1451623938164267497_n

ASCr2vEb

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!