Hizi ndio picha za Behind the scene za tamthilia ya Mawenge Episode ya 2 angalia hapa kutoka VAD Film production

V.A.D film production Danmark imekuletea Tamthilia mpya MAWENGE, iliochezwa na wasanii machachali kama Selembe Toko, Tatu Daniel, Safi Happy na wengineo wengi fatilia sehemu ya pili ya tamthilia hii ya MAWENGE ; Ni nini kipya kutoka Justin Zawadi na Tatu Daniel.

11225898_10206637581648876_487507409_n

VITUKO gani tena MAWENGE ameonesha mke wake mama Ani akiwa anauchungu wa mwanaye Ani. MAWENGE atamfariji je mama Ani? ao njoo atamtesa zaidi tena… basi usikose sehemu yako ya 2.

Mama ANI ametamani nini kutoka Mungu? kwa nini Mama ANI amejaa vitu akiwa chooni…. basi kaamkao wakula na kuchunguza sehemu ya 2.

11292833_10206637581728878_1073198630_n
11225898_10206637581648876_487507409_n

Usikose kufatilia kazi mzuri toka V.A.D DENMARK Chini ya Director JAY MSABAHA na Editor ALY DEX LULINDA wakisaidiwa na Safari Lukeka.

History imetengenezwa na JAY MSABAHA DIRECTOR toka V.A.D FILM PRODUCTION.
11216289_10206637580288842_373038782_n
11281882_10206637581408870_1136795964_n
11280286_10206637580528848_125192663_n11287391_10206637580568849_1350795301_n

MAWENGE KIPINDA YA KWANZA nini ilioko? sasa KIPINDI YA PILI iko njiani nini itatokea kati ya MAWENGE, MAMA ANI, TATU,JUSTIN na wengi wengi, basi V.A.D FILM PRODUCTION ni kwajili yako wewe na mimi.

 

 

11280286_10206637580528848_125192663_n 11281882_10206637581408870_1136795964_n 11287391_10206637580568849_1350795301_n 11216289_10206637580288842_373038782_n

https://www.youtube.com/watch?v=Z0EhxRkM844
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!