ACTOR NA MENEJA ABOU KHERMIS TWALEB
SWAHILI MOVIES ILILAZIMIKA MUMPIGIA SIMU YA DHARULA MUIGIZAJI NA MKURUGENZI WA TWALEEB ENTERTAINMENT BAADA YA KUANDIKA UJUMBE UFUATAYO KATIKA UKURASA WAKE MMOJA WA KIJAMII
Hi my FANS !!!
I’M SICK…”ON BED”…. from Sunday, but starting getting well “THANKS TO ALLAH”
TULILAZIMIKA KUMPIGIA SIMU LAKINI ILIKUWA IKIITA BILA KUPOKELEWA NDIPO BAADA YA MDA TUKAMPATA NA MAZUNGUMZO YALIKUWA KAMA HIVI
Abou na Lucy Komba behind the scene ndani ya African BOy
siku chache kabla hajaumwa akiwa na EDITOR na ndio cameraman mkuu wa MOVIE YA “AFRICAN BOY” hapa Wakiipa baraka za mwisho “TRAILER” ya Movie hiyo kabla hatujaiweka HEWANI siku chache sana zinazofuata….!!!
Picha hii alipiga Abou na rafiki yake jumamosi kabla ya kuanza kuumwa jumapili
KAKA NAKUPIGIA SIMU IPO KIMYA UNANITISHA NINI ZAIDI
ooh..pole sana kwa kunikosa..nilikuwa niko kitandani na simu niliisahau bafuni…aaah bwana nimepata homa kali sana ghafla tu usiku wa kuamkia jumapili .na ni Homa za usiku na kifua/ mafua makali sana ambayo yameniweka kitandani nikiendelea na dose ya dawa . “Influenza” na kifua kunibana sana…hivyo niko kitandani kwa siku tatu..nimekuwa kwa Doctor wangu na nimepewa dawa kali sana ..ila zinanichokesha mwili sana….leo kidogo naweza kuhisi afadhali kidogo sana…mwili wote utazani nimepigwa…Thanx kwa kujali
Thanx ..nashukuru mungu leo naweza hata kula kidogo…ilikuwa ni taabu sana..
BAADA YA SIKU MBILI YAANI LEO TENA TULIONGEA NAE KUJUA HALI YAKE
KAKA VIPI UPO UNAENDELEAJE LEO
Shukran nipo bado nipo on bed still sick, kuumwa ….kuumwa ??? aaah biashara mbaya sana..sina raha kula kwa taabu..!! ha ha ila nawashukuru mashabiki wangu wamenipigia simu mfululizo kunipa pole na watu mbalimbali, wakinitakia afya njema hasa happy mtui wa Tanazania nashukuru sana
SWAHILI MOVIES INAMPA POLE MENEJA HUYO NA MUIGIZAJI NA KUMUOMBEA APONE HARAKA, GET WELL SOON