Huu ndio mkoko (gari) mpya ya mwigizaji Simon Mwapagata – Rado

Hapo jana tulipata nafasi ya kumtembelea mwigizaji Rado nyumbani kwake na katika mambo mengi tuliyoongea naye aliweza kutuonesha mkoko wake mpya aina ya Toyota Mark X ambao mwenyewe anasema umemgharimu mamilioni mengi ya kitanzania kuupata baada ya gari yake ya awali aina ya Toyota Alteza kupata ajali na kuamua kuitia kapuni. Tazama picha

 

1547916_790183380996156_638910333_oSimon Mwapagata au   Rado akiwa ndani ya mkoko wake

20140116_180636Simon Mwapagata au   Rado akiwa ndani ya mkoko wake

20140116_175851Mkoko wa Simon Mwapagata au Rado  kwa nje

habari kwa msaada wa Bongo Movies.com

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies