Kutana na mwanamuziki wa nyimbo za injili anayefanya vizuri ulaya Frederic Joshua/JosuE Kamili ni mkongomani anayeishi Ireland Cork ,ni bacherol mtanashati na mpaka sasa baadhi ya nyimbo zake alizofanya za Gospel Music zinafanya vizuri na kutufanya ,Swahili movies kumuhoji kujua machache ya kutoka kwake
Gospel Musician Frederic Josue KAMILI kwenye mazoezi
ULIANZA LINI MUSIC NA MPAKA SASA UMESHAFANYA KAZI NGAPI
Nilianza music Tangu niko miaka 8 Kwenye sunday school kanisa 5eme CELPA Filadelphia BUKAVU DRC . Pia Nimesha record nyimbo 15,nani kafanya featuring na some South African DJs kwenye album Zao Dj BlackSoul Na KUBU MUSIC Nyimbo kwasa na direct na coordinate choir kwenye kanisa ninalo shiriki Cork Ireland niko na shoot video hambazo zitatoka huu mwaka nyimbo zangu ni 1.My God is Good, 2 Nina Rafiki, 3.Nyamuzinda,4 .BukavuEnyanya,2. Doom’sday…6. FreeDRC
Gospel Musician Frederic Josue KAMILI kwenye pose
Nashukuru Mashabiki wanani support sababu ninawapa nyimbo za habari njema,wengi wao wakristo,nawapa maneno ya hope nakujipa moyo pia kuabudu,napia naimba kwalugha mama MASHI na kiswahili ,soo kabilaa langu lakishi huwa wana support saana kuona nafanya Rap music kwa luga la mashi na kiswahili
KITU GANI KIMEKUFANYA UFANYE HIP HOP SONGS NA SIO MTINDO MWINGINE
Nafanya Hiphop sababu tena nilitaka niguse vijana kuwapa maneno yenye positivity ,apana matusi,na gangester rap wanayo fwata toka waigizaji wa secular music ,Mziki naimba style zote lakini niliguswa tangu nilipokua mtoto na style ya ama genre ya hiphop sababu hiphop inayo energy ya ajabu saana pia message inapita bilashida nawatu huwa wako makini saana
Gospel Musician Frederic Josue KAMILI akiimba kanisani
WEWE NI KIJANA MTANSHATI TENA NI SINGLE NA UNAFANYA GOSPEL MUSIC UNAJIEPUSHA VIPI NA VISHAWISHI , AU UNA MPANGO WA KUOA
Kuoa ni wish yangu natena sababu mimi nafanya mziki wa kikristu inabidi tabia yangu imupendeze boss wangu Yesu kristu, kuoa itaniepusha namajaribu sana sana i dont want to sleep around with different girls what i want is to have a family,….My wish is to touch people and make a difference with my music
Gospel Musician Frederic Josue KAMILI kwenye pose
It’s not all about money naji support mimi mwenyewe kipesa ninapo record ama ku shoot video ,kwakumalizia nilitaka ni shukuru big brother wangu Pac Kalenga na company yake ya FlashBack studio kwa video ambazo wako wakinifanyizia, pia nashukuru kwa swahilimovies na waandishi wa hii blog Mwenyezi Mungu awazidishie
http://www.reverbnation.com/fredericjosuekamili
Gospel Musician Frederic Josue KAMILI kwenye pose Ireland
TEMBELEA PAGE YAKE KUSIKILIZA KAZI ZAKE LINK HAPO CHINI
http://www.reverbnation.com/fredericjosuekamili
swahilimovies inamtakia kazi njema katika kutangaza habari njema
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies