Iam Director of the Director by Ally Dex Lúlénda

kutana na Director of the  Director Ally dex Lulenda  ambaye kazi zake zinafanya vizuri ulaya na africa kwa ujumla , anasema alianza kazi zake za sanaa mwaka 2011 nchini denmark na alianza kama muigizaji lakini baada ya kuona anamudu uigizaji akajikita kwenye directing, ambapo ilimlazimu kuingia shule  Maarufu ya film  nchini denmark inayojulikana  Potemkin Film College    ili  alisomea Actor, Writer,  Cameraman and Editor ili kuweza kufanya kazi zake kitaalamu , lakini Director huyo pia ni mjuzi wa kupiga  gitaa . pata  mawili matatu .

 

1476786_784979144850841_1337709370_nDirector of the Director Ally Dex Lulenda

Mpaka sasa nimeshadirect na kushuti movie zaidi ya nane  ikiwa ni pamoja na  Moyo wangu, Passport Love, Mistreated Girl, If i knew, Dont look down to the poor, Tanzania to Denmark ambayo tumefanya na Lucy Komba  na kwenye movie hizo nyingine nimekuwa kama mwandishi, nyingine cameraman na nyingine nimeigiza na nyingine nimedirect na kushuti.

Hongera sana Director Ally, kwa kazi nzuri, Wewe umefanya kazi nyingi ni changamoto gani ulizopitia katika kazi zako hasa Directing maana directing sio kazi ndogo navyofahamu.

Asante sana , hiyo ni kweli kati ya uandishi , uigizaji , shooting  , directing ni kazi ngumu zaidi na changamoto ni kubwa sana kama wakati mwingine muigizaji  unapomuelekeza mkiwa location yeye anakuwa na hasira haraka na kushindwa kufanya kile kinachotakiwa , pia  baadhi ya waigizaji hawa sikiyi ni kazi kubwa sana

 

936233_10200770934583289_629251726_nAlly dex lulenda kushoto as cameraman Akishuti Moyowangu with frank, Ashley and Kay

Hebu tuambie sasa nini mipango yako ya baadae, mashabiki wako wategemee nini

mipango yangu ya kazi ya baadae ni kwenda juu na kazi yangu na kufanya movie nyingi zaidi

1385980_419049701534978_1756353057_nDirector Ally, kay na Richard location

ali

Director Ally akifanya setting  ya light kwa ajiri ya shooting

1505180_564995620256224_285677308_n(1)Director Ally  katikati akidirect music studio

1533882_565010946921358_927432495_nDirector Ally  akishuti movie PASSPORT LOVE

1469755_769787443036678_794698002_nDirector Ally   akiwa kwenye pose

1552945_784979151517507_1402494282_nDirector Ally   akiwa kwenye pose

1529505_784979161517506_502114606_o Director Ally akiwa na wasanii zawadi , Lucy Komba na kay

Siku chache zilizopita tumeona umebadili jina kutoka D irector kwenda Director of the Director , mashabiki wako wangependa kujua nini hasa maaana ya kubadili jina

Nimebadilisha jina kutoka Director kwenda Director of the Director kwa sababu mashabiki wangu watarajie kazi za juu zaidi mwaka ujao kuna kuja # fleche kizingala,ndiyo mashabiki wangu wasubiri # fleche kizingala # ambayo inakuja mwaka 2014

Swahili movies  inashukuru sana Ally Dex Lulenda   kwa ushirikiano wako.. tunakutakia kazi njema.

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies.