IRENE UWOYA ANASWA AKIMTOMASA SEHEMU NYETI BABA HAJI ILIKUWA KWENYE PARTY YA BONGO MOVIE

Na Laulant Samata
Kamera za kisasa za gazeti la Maskani Bongo zilizokuwa zimesambaa ukimbi mzima kwenye party ya Bongo movie zilifanikiwa kunasa tukio moja la aibu toka kwa mastaa Irene Uwoya na Baba Haji wakiwa wamegandana kama ruba huku wakipapasana sehemu nyeti.

clip_image001[4]
Hapa uwoya akifurahi jambo toka kwa Baba haji kabla ya kukolea kilaji.
 

clip_image001[7][5]
Iren Uwoya akiwa anajipapasa mwilini mwake…Kilichofuata sasa Duh Cheki Picha chini.
 

clip_image001[5][6]
Mmh hapo sasa sijui alikuwa anahitaji nini uwoya kwani akiwa amemgusa sehemu nyeti baba haji.
credit:Lindi yetu blog