JAMAA AFUNGA NDOA NA MBWA BONYEZA HAPA

Ukisikia maajabu ya Musa ndio haya, jamaa mmoja nchini marekani katika jiji la San Francisco ameamua kufunga ndoa na mbwa, kama unavyowaona hapo pichani. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Chapel of Our Lady at the Presidio. Bwana harusi anajulikana kwa jina la Paul Horner na bibi harusi anaitwa Mac (Mbwa). Baada ya ndoa hiyo Kasisi aliyefungisha ndoa hiyo alihojiwa na kusema kuwa bwana harusi ana furaha ya ajabu sana kwani alikuwa akionekana anatabasamu kila mara. Wasiwasi wangu ni kwamba  ‘watafanyaje tendo la ndoa?’ na Je wakiweza kufanya watapataje watoto? na kama wakipata watakuwa wamefanana na nani? Hahahahahaha.

dog-marriage Sijui wewe mdau wa swahili movies una maoni gani funguka hapa chini.

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies