kwa mda mrefu Divas wawii ambao walikuwa na ugomvi baada ya kutembea na mwanaume mmoja ,mwanamziki maarufu wa Tanzania Diamond Platnum , na kupelekea Wema Sepetu na Jokate Mwegelo kuwa na ugomvi kwa mda hatimaye wamekiri wao wenyewe kuwa kwa sasa wameshatatua matatizo yao na hayo yameonyeshwa katika show ya muziki iliyofanyika mjini Arusha Tanzania , ambapo Jokate alipanda stejini na kumtunza Wema , ikiwa pamoja na kumwita mke mkubwa angalia na sikiliza mwenyewe kwenye IN MY SHOES ya WEMA SEPETU