Kwa umri ni kijana mdogo kabisa mwenye makazi yake nchini Denmark lakini anaiwakilisha vizuri Africa kwa nyimbo kali anazotengeneza DANCE WITH ME ndio nyimbo yake iliyopo kwenye chati sasa mpaka kwenye redio za kidenish nae si mwingine ni KAY MSABAHA , kama wewe bado hujapata nafasi ya kusikiliza nyimbo hiyo basi hapa ndio penyewe icheki hapo chini alafu tupia maoni yako.
https://www.youtube.com/watch?v=4HK44Thn_YM
hii ni audio video will be out soon by kay msabaha