Kutana na msanii wa film pia ni mkurugenzi wa kampuni ya BIG JJ FILM PRO iliyopo denmark na kwa kifupi haya ndio machache Usiyoyafahamu kuusu BIG JJ
Jina langu kamili naitwa John philiph natokea Lubumbashi Congo. ila kwa sasa naishi hapa LEMVIG , DENMARK
JE UMESHAOA AU TUAMBIE KIFUPI KUUSU FAMILIA YAKO
Nimeoa na nina watoto mapacha ambao nao nafanya nao kwenye kazi yangu ya film ,wote wawili ni wakike .
Hongera sana ,sasa ningependa kufahamu ni filamu ngapi mpaka sasa umeshafanya
Nilishacheza film 3 na kucheza film 2 nawasanii wengine majina ni , Nonsense ,Temptation , woman need the truth ,Tears of money ,Remember God
Matatizo gani unakutana nayo kwenye kazi yako
Matatizo yako mengi lakini mimi sifati ayo, nafanya kazi yangu kwa nguvu mpaka nifike Hollywood, kwani watu hawajui kama kidole kimoja akiwezi fanya kazi zote
Nini mipango yako ya baadae
Mipango yangu ya baadae nataka kufanya kazi na watu tofauti ,watu wenye vipaji. Pia napenda mtu yoyote, kama vile napenda kampuni yangu, na watu tunaofanya kazi pamoja nawapenda sana, sina la ziada la kusema.
Swahili movies inashukuru sana Bigjj Olenga kwa ushirikiano wako.. tunakutakia kazi njema ,pata habari zaidi tembelea facebook page yetu swahili movies .com pia unaweza tufollow instagram swahilimovies