Muimbaji wa Muziki wa kizazi kipya Daktari wa mistari ameonekana kuwa na furaha ya kupitiliza baada ya wimbo wake wa SLOW SLOW BABY na SITAKI MANENO kuchezwa kwenye television ya uholanzi , ikiwa ni mara ya kwanza kwa wasanii chipukizinchiniuholanzi kufanikiwa kurusha video zao kwenye televison , kwa kuonyesha furaha yake aliandika hivi .
Thanks so much AFTV for broadcasting our song on your televison , proud to be african , we believe in strugle.Alimaliza na kwa sasa yuko kwenye kumalizia shooring ya nyimbo yake mpya aliomshirikisha mwanadada kutoka ujerumani tutakuletea habari zaidi pindi single yao hiyo itakapokuwa tayari .
bonyeza hapa kuangalia nyimbo hizo zilizorushwa kwenye tv ya uholanzi.
https://www.youtube.com/watch?v=lsNZQ3UQiSA&feature=youtu.be
https://www.youtube.com/watch?v=UgU6CiftPGE&feature=youtu.be
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here