Kumekucha Stuttgart Germany Diamond kufanya Show ya Bure 20 mwezi huu

1545707_798121083543041_8915164656880074871_n

Baada ya kitimtim cha kufa mtu kilichotokea Stuttgart Ujerumani kilichosababisha Diamond kushindwa kufanya show  hiyo iliyosababishwa nawadhamini wa show hiyo kudaiwa kujaa uchu wa pesa na kutaka kuichukuwa show hiyo toka kwa promota huyo wa Nigeria na mashabiki kufanya vurugu mapromota na wadhamini wa show , na kupelekea Diamond kushindwa kufanya show hiyo kutokana na fujo  kutoka kwa mashabiki na hata kutaka kumjeruhi mwanamuziki huyo , hivyo kitendo hicho kilimsikitisha Diamond na kuamua kufanya show hiyo Bure nchini Ujerumani  ili awaridhishe mashabiki wake waliokasilishwa sana na kitendo cha yeye kutoperform mara ya  kwanza , soma hapa chini ni maneno hayo president huyo wa wasafi. Diamond Platnumz amesema wazi kuwa tarehe 20 September 2014 yaani mwezi huu .

10550991_797629680258848_2795746534081036417_n

“Yes!!! Stuttgart Germany!! on this 20th of September 2014….kiukweli nilisikitika sana na kilichotokea last time stuttgart….lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promota kama nilivyodhani, yaani Britts Events….ndipo tulipoamua na kuwaletea burudani hii mashabiki zetupendwa wa Stuttgart….hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa red carpet……kiingilio ni BUREEE!! …tafadhali wambie na wenzio wa nchi za karibu…Norway, Belgium, Sweden, Holland, Denmark, Switzaland…Karibuni sana

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Swahili Talk Radio

Tupe maoni yako hapo Chini..!!