Mama G kutua Ujerumani september kwa mara ya pili

Mkali wa filamu za kinaijeria Patience  Ozokwor au Mama G kama anavyojulikana na Wengi  atakuepo katika utoaji Tuzo wa Filamu za kinaijeria kwa mwaka huu 2014 na kuahidi mashabiki azke wasikose Frankfurt Germany kusherekea Tuzo hizo , kwani pia siku hiyo itakuwa ni sherehe yake ya kuzaliwa hivyo amewataka mashabiki wake na wa filamu za kinaijeria wasikose  na kurejea kwake kunatokana na kuja kufanikiwa kwa Tour yake aliyoifanya mwaka jana nchi mbalimbali za Ulaya hiyvo anawakaribisha sana mashabiki zake Katika Festiaval bila kumsahau   Mwanamziki Olamide atakuepo

163933_162687770442084_3129155_n

The Return of Mama G – as a special Guest at the Nollywood Film Festival Germany also nominated for NEGA Award 2014 both in Frankfurt, Germany, a place to be in September. Coincidentally, Its also Mama G – Birth Day….You’re all invited to groove with the most respectable Mama Nollywood aka Mama G come 13th September 2014. Come and show her LOVE; “The Show Must Go On!!”

 

Angalia video hapo chini kumsikia Mama G mwenyewe akiongea

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!