Muigizaji na Muimbaji Mandela Nichorus kuzindua Filamu yake ya kwanza Iliojaa mastar wa Bongo Movie , Rado, Mzee Jengua, Na wengine wengi, soon Mjini kibaha ambako washiriki wa Filamu hiyo na mastar wa Bongo Movie watahudhuria , angalia picha na anuani ya Uzinduzi huo hapo chini.
Mandela akiwa na Rado mshiriki wa Filamu hiyo
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here