mange awacharukia wasanii vibonge aanza na wemasepetu, aunty ezekiel, jackline wolper, na wastara

I’m glad nimewasaidia wengi kupata basic knowledge ya kupungua mwili…. Kusema kweli unene ni janga la Taifa TZ, alafu hata macelebrity hawajui jinsi ya kujimaintain jamani. Mpaka mtu unashangaaa. Huku marekani macelebrity watafanya kila kitu chini ya jua wasinenepeane, kuanzia diet mpaka maplastic surgery, yani wanahangaika ila bongo wamastaaa ndo wanaongoza kwa unene. Hakuna Star naemwonaga kajiharibu kama Aunty Ezekiel, jamani Aunty alikuwaga kazuriiiiiiiiiiiiiiiiii, mpaka unataka kumla! Kajala mpaka figure inaanza kupotea, Wema ndo tushampoteza na ndo hajazaa bado akizaa sasa? Kabakia anavaa mabwanga ya Pepe Kale ??, Wolper kabaki sura tu ila miguo yake mikubwa kubwa inasamdia kuficha, Penny mpaka kawa wa round ?, Esma mpaka anaanza kuonekana ka shangazi yake Petit, Shishi mpaka watu tukadhani mjamzito kumbe mzima ?. Linah Sanga utasema keshazaa watoto 7 kumbe kamoja, alafu bado anataka kuvaa viguo viduchu ?

.
Pia mtu mwingine ni Wastara, Wastara amegain a lot of weight hii ni moja ya sababu mguu unamsumbua sana. Tafadhali someni kuhusu leg ambutees and weight gain. Inabidi Wastara aelezwe ukweli kuwa tatizo la mguu analiongeza yeye mwenyewe kwa kunenepa. Unene unamadhara zaidi kwa watu waliokatwa miguu kuliko watu wa kawaida. Angalieni video za Wastara 3-4 years ago and now mtaona tofauti kubwa sana. Wastara mpaka Shingo inapotea.Yawezekana ana tatizo kubwa zaidi ila pia angepungua kutakuwanna less stress on her joint na mguu anaotumia….
.
Sio lazma ufuate diet yangu exactly, unaweza ukaitwist kidogo to fit your life style lakini angalau umepata idea.
.Kumbukeni hili, kula chakula kwa ajili uweze kuwa hai na sio ule sababu ya kuenjoy, ukijikuta unakula sababu chakula ni kitamu basi jua unaelekea pabaya….FOOD IS NOT YOUR FRIEND..

.
Hi dada mzuri nashkuru sana kwa diet plan ya jana nimekuwa nikiwish kupunguza mwili lakini nimekuwa nafanya tuu mazoezi naishia kuwa baunsa Mungu akubariki sana leo nimeanza rasmi diet na God wish ntakupa matokeo salam sana kwa my little sweet uncles.
Have a great day sister.