Serikali ya Marekani yapanga kuhamisha idadi ya wakimbizi
wapatao 32,000 kutoka kambi ya wakimbizi wa Nyarugusu kuanzia
mwaka huu wa 2014.
Hayo yamesemwa naye waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania
Mh. Mathias Chikawe wakati wa mahojiano na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa naye waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania
Mh. Mathias Chikawe wakati wa mahojiano na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam. Amesema wakimbizi watakaohamishwa ni wale raia waburundi na
congo DRC. Naye msimamizi wa UNHCR Tanzania Bi. Joyce amesema kuwa
mpango huo tayari umekamilika na wameanza mahojiano kwa
wakimbizi wa kambi hiyo ya Nyarugusu ili kupata idadi hiyo inayotakiwa kuhamishwa nchini Marekani.Naye msimamizi wa UNHCR Tanzania Bi. Joyce amesema kuwa
mpango huo tayari umekamilika na wameanza mahojiano kwa
wakimbizi wa kambi hiyo ya Nyarugusu ili kupata idadi hiyo
inayotakiwa kuhamishwa nchini Marekani. Wakizungumza na Umoja Radio kwa nyakati tofauti wakimbizi wa
kambi ya Nyarugusu wamepokea kwa furaha tangazo hilo la
kuhamishwa kwani wengi wao wamepita kwenye matatizo
mbalimbali ya kifamilia, kijamii n.k,.. Ikumbukwe kuwa tayari UNHCR Kasulu imebandika vipeperushi
kambini Nyarugusu kwa kupiga vita swala la rushwa wakati wa
mahojiano ya kuwapeleka wakimbizi wa Nyarugusu katika nchi ya
tatu.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : Umojaradio.blogspot
Tupe maoni yako hapo Chini..!!