Mashabiki wa waigizaji Ashley Toto na Devotha wataka kutoana macho kwa maneno makali…. hali hio ilitokea baada ya wasanii hao kupambanishwa katika facebook page ya Swahili european movies inayodeal na filamu za kiswahili ulaya
Actress Devotha Alfred akiwa kwenye pose
Ashley Toto na Devotha Alfred ni waigizaji wa V.A.D film production iliyopo Denmark wanaokuja juu kwenye tasnia hiyo ya filamu hapa Ulaya . Huku Ashley aking’ara kwa movie ya Moyo wangu :http://www.youtube.com/ watch?v=naOdJTZs1gs
Nae Devotha Alfred akiing’araa ndani ya filamu ya Passport love zote hizi wamefanya chini ya director mmoja Ally Dex Lulenda

Devotha nae ni muigizaji anaekuja kwa kasi ya volkano hapa Ulaya kutokea Tanzania aneishi pia ujerumani kwa ajiri ya masomo … Huku ikionekana dhahiri kabisa umaarufu wa Ashley Toto uko hatarini kutokana na Devotha Alfred kupata kolabo katika kazi nyingi zaidi kwasasa
Hizi ndio coment za mashabiki wao
-
Chani Chaniali Ashley nd
-
George Yonna Devotha Alfred hana mpinzani.
-
Chris Ray Mwakasale Kama sija elewa vizuri Je ni waigizaji wa VAD au nyingine la swahili movie ?
-
Philomena Ziro Ashley Toto mkali
-
Ismail Mohmmed TT kiboko
-
Jayy Booy Ashley Toto uko juu sana
-
Lucy Johnny Ashley Toto Uko poa tu sana dada uko
-
Bridgit Tommy Ashley Toto hakuna mwengine kwetu ila tu weweee
-
Abou Hermis Twaleb WOTE NI WASANII WAKUBWA SANA NA NIMEWAKUBALI…….WOTE WAKO JUU NA MTAWAONA KATIKA MOVIE ITAKAYOFUATA BAADA YA MOVIE YA AFRICAN BOY KUTOKA TWALEB ENTERTAINMENT Film Production……..TEGA SIKIO NA UFATILIE ILI UJUWE NANI ATAKAE KUPA JIBU PINDI WAKAPAPOCHEZA MOVIE PAMOJA…..CHINI YA UONGOZI WA TWALEB ENTERTAINMENT……
-
Abou Hermis Twaleb Wote ni wakali…
-
Vaida Duku Too bad compared MOYO WANGU AND PASSPORT LOVE HAHAAHAHA; i dont care wether Your name is DEVOTHA OR BEACAUSE I KNOW YOU Lakini anzia stori yenyewe ya passport Love huwezi kuifananisha na stori ya MOYO WANGU, hata mara miaa, so STORI NZURI NA UMEITENDEA HAKI GIRL, but we need full movie please…….
-
Joe Peters PASSPORT LOVE SUPER ACTRESS
-
Shabani Chande please all read my status on my wall about how to be good actor or actress and you will learn something before jump to conlusion:::.. DEVOTHA YOUR IMPRESING ME WITH YOUR ACTING,YOU HAVE ENOUGH ENERGY; STRONG VOICE ; GOOD USE OF GASTURES ,AND SO MANY THING, but you still have long journey to go ….. so dont feel your a SUPERSTAR:
-
Nene Kaluta Ashley Toto is the best
-
Salama Melanie Devotha Alfred ume look nice mi wifi love you ♥♥♥
-
Wenyewe walipoojiwa na www.umojaradio.listen2myradio.
com iliyopo Holand kwa kipindi tofauti walisema , kupambanishwa sio kitu kibaya ila wanafikiri ni mapema sana kwani wao wote bado ni wasanii wachanga na hata mashabiki wao badio hawajaona kazi zao nyingi, hivyo ni vizuri endapo waandishi hao waliowapambanisha kama wangesubiri, ila hawana kipingamizi chochote . je wewe shabiki wa swahili movies unayapi ya kusema , pitia movie zao you tube kupitia link hapo juu na utupe maoni yako.Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies