Meneja wa kampuni ya film inayofanya vizuri ulaya kampuni ya v.a.d amekutwa na camera zetu za swahili movies akiwa hoi hajitambui kwa pombe, chanzo chetu kinasema meneja huyo alijikuta akinywa na kufikia hatua ya kutokujitambua baada ya kupata habari kuwa raisi paul kagame amefariki ,na yeye akiwa kama mcongo anawakilisha wacongo wenzake……. tumeshindwa kupata chanzo kamili kama ni kweli sababu ni hiyo au kuna sababu nyingine kutokana kuwa bado hajarudiwa na fahamu mpaka sasa….
Meneja Rizos Babingwa akianza kuchagua kinywaji kabla ya kupombeka
Meneja Rizos Babingwa akiwa hoi baaada ya kupombeka
Raia wa congo wakisherekea kusikia Raisi paul kagame amefariki
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies.