Mfahamu sexiest actress kutoka VAD ambaye toka alipoanza filamu mwaka 2011 mpaka leo bado amefanikiwa kukaa juu kwenye soko la filamu scandinavia na ulaya kwa ujumla , na kufanikiwa kucheza filamu na short film mbalimbali kama Jambuka, Don’t look Down Upon the poor. , If Knew, The mistreated Girl , moyo wangu na Jealous Friend kama haitoshi muigizaji huyo mwenye macho ya kuvutia na anayejiweza kuigiza , alibahatika kucheza filamu na muigizaji Devotha Alfred ambayo ilikuwa ni short film , lakini aliweza kuonyesha uwezo wake mkubwa kwenye filamu aliocheza na Mwanamziki mkongwe MR NICE na muigizaji machachali SELEMBE TOKO na hapo ndipo alipoweza kuonyesha kuwa si tu urembo wake unaomfanya achukuliwe mara nyingi kwenye filamu bali hata uwezo wake na juhudi zake za kuigiza .
Tulipotaka kujua mipango yake ya baadae Tantine alisema ana mipango mingi na kufika mbali ila tuombe majaliwa ya Mungu kwanza mtaona kazi zangu, lakini mrembo huyo hakuishia hapo bali alilalamika kuwa kwenye sanaa ya uigizaji Matatizo yangu ni watu huwa wanaongea mengi hata chenye mtu hakufanya,Watu wanaongea mengi ila Mi sijali nao,Mi mipango yangu nikusonga mbele .
Pia Alimaliza kwa kuwashauri wasichana wenzie kwa kusema” nitawambia wasichana wenzangu wajipe moyo wala wasijali na maneno yawatu Kuingia mambo ya sanaa ni vigumu sana kama mtu hakujipa moyo hawezi kufika popote pale” .
Angalia picha mbalimbali za behind the scene za muigizaji Tatu Daniel au Tantine
Tatu au Tantine, akiwa na selembe toko, richard muyale , na claurice safi movie ya NIMUAMINI NANI
Sex lady Tantine na selembe Toko
sex lady Tantine na waigizaji wenzake
Sex lady Tantine MR NICE na claurice safiSex lady Tantine on pose